TAZAMA HAPA MSIMAMO WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA MARA BAADA YA MICHEZO YA LEO APRIL 16, 2018

Baada ya mechi tatu za leo, Kagera Sugar wanapanda kwa nafasi mbili, huku Ruvu Shooting ikizidi kuikaribia Mtibwa Sugar. Simba wanaendelea kujikita kileleni kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya mpinzani wake Yanga, lakini Simba iko mbele kwa michezo miwili.

Post a Comment
Powered by Blogger.