SPIKA NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment
Powered by Blogger.