Mafuta yapanda bei, hizi ni bei elekezi zitakazoanza kutumia Machi 7, 2018

Bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda ambapo, petroli imepanda kwa TZS 1 kwa lita (0.06%), dizeli TZS 69 kwa lita (3.37%) na mafuta ya taa TZS 4 kwa lita (0.20%).
Ongezeko hilo ni kutokana na mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia, na uimara wa dola (USD) inayotumika katika biashara dhidi ya shilingi ya Tanzania.
Post a Comment
Powered by Blogger.