KAPTENI WA FIORENTINA AFARIKI DUNIA AKIWA USINGIZINI
Kapteni wa Fiorentina Davide Astori amefariki dunia akiwa usingizini ikiwa ni kabla ya mchezo wao na Udinese wa hii leo.Astori, mwenye umri wa miaka 31 beki wa kimataifa wa Italia amekuwa na klabu hiyo tangu mwaka 2016, hapo awali alichezea timu za Milan, Cagliari na Roma.Astori ameshinda makombe 14 ya kimataifa na timu ya taifa ya Italia na alikuwa katika kikosi kilichocheza kombe la Shirikisho la FIFA mwaka 2013.
Klabu ya  Fiorentina imethibitisha kifo cha Davide Astori ambapo pia mchezo wao na Udinese umehairishwa
Post a Comment
Powered by Blogger.