ACT WAPATA PIGO ,VIONGOZI WA NNE NA WAFUASI 45 WATIMKIA CCM

Chama cha ACT Wazalendo wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma , kimepata pigo baada ya viongozi wake wa nne na wafuasi 14 ambao ni wananchama kuhamia Chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM). 
Viongozi hao wamesema wamechukua maamuzi ya kuhamia CCM baada ya kuona utendaji kazi wa Mhe , Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Maguful kuwa ni mzuri,pamoja na kusema chama hicho cha ACT hakina uwezo wala mwelekeo wa kuchukua dola, hivyo wamesema wapo sahihi kuhamia CCM ili kuendana na kasi ya Rais kuweza kuleta maendeleo katika wilaya hiyo ya Tunduru na Taifa kwa ujumla.
Post a Comment
Powered by Blogger.