VIDEO:RC RUVUMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSIMAMIA VYEMA MAADILI YA WAUMINI WAO

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amewataka viongozi wa dini mkoa humo kusimamia vyema maadili ,unywaji pombe uliokithiri pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa dini katika ikulu ndogo mjini songea habari kamili hii hapa video yake
Post a Comment
Powered by Blogger.