VIDEO :DC SONGEA ATOA SIKU KUMI NA TANO KWA MKANDARASI KUMALIZA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA SHULE.

Mkuu wa wilaya ya songea pololeth mgema amemtaka mkandarasi anayejenga miundo mbinu ya shule ya sekondari GUMBIRO iliyopo katika halimashauri ya madaba mkoani ruvuma kumaliza kwa wakati Rai hiyo ameitoa wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali katika halimashauri hiyo HABARI KAMILI HII VIDEO YAKE
Post a Comment
Powered by Blogger.