MATUKIO MBALIMBALI YA BUNGENI LEO MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Bunge Mhe.Andrew Chenge  akiongoza kikao cha nne cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Iringa Mhe.Rose Tweve akiuliza swali wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Stella Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel na Viongozi waandamizi wa Wizara hiyo wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akimsikiliza Mbunge wa Bunda Mjini Mhe. Ester Bulaya wakati wa kikao cha nne cha cha mkutano wa kumi wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Uvuvi na mIfugo Mhe.Abdallah Ulega wakati wakiingia Bungeni tayari kwa kuanza kwa kikao cha nne cha Mkutano wa kumi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mkoani Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Post a Comment
Powered by Blogger.