WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI RUVUMA KWA ZIARA.

Na Ditha Nyoni
Waziri mkuu Kassim Kajaliwa amewasili mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku sita ambapo katika ziara hii waziri mkuu atatembelea halimashauri ya Mbinga,na Nyasa na kuhitimisha katika Manispaa ya Songea, nakuzungumza na wananchi katika uwanja wa majimaji,huku miradi mbalimbali anatarajia kutembelea ikiwemo kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la Tanesco.
Post a Comment
Powered by Blogger.