SANAMU YA LIONEL MESSI LIMEHARIBIWA TENA KWA MARA YA PILISanamu ya Lionel Messi iliyopo katika Jiji la Buenos Aires nchini Argentina imeharibiwa kwa mara ya pili.Sanamu hiyo ya nyota huyo wa Barcelona ilizinduliwa Juni mwaka 2016 huko Paseo de la Gloria na kuhudhuriwa na nyota kadhaa wa Argentina.Mapema Januari sanamu hilo lilikumbwa na waharibifu kwa mara ya kwanza na kukatwa kiunoni, na safari hii limekatwa usawa wa enka.
Sanamu ya nyota wa Argentina Lionel Messi inavyoonekana baada ya kuharibiwa na watu wasiojulikana
Kushoto sanamu ya Lionel Messi ilivyokuwa imeharibiwa mara ya kwanza na kulia ilivyoharibiwa mara ya pili
Post a Comment
Powered by Blogger.