HDIF YAWAWEZESHA WAKAZI WA MAGANZA KISHAPU KUPATA MAJI SAFI

 Mtaalamu wa maji wa Shirika la ICS linalotekeleza mradi wa kusambaza maji safi na salama kwa kutumia teknolojia ya malipo kabla unaofadhiliwa na HDIF akielezea jinsi teknolojia hiyo inavyofanya kazi.Kushoto ni kiongozi msaidizi wa HDIF  Be. Joseph Manirakiza.
 Matanki ya maji yaliyojengwa na ICS kwa ufadhili wa HDIF katika kijiji cha Maganzo yanayosambazwa katika vibanda vya maji 25 vinavyotumia teknolojia ya walipo kabla.
Wananchi we Maganzo kata ya Kishapu Shinyanga wakielezea muhimu wa mradi wa kusambaza maji safi na salama kwa kutumia teknolojia ya malipo kabla unaofadhiliwa na HDIF .
Post a Comment
Powered by Blogger.