VIDEO:RC RUVUMA AMWAGIZA MKANDARAS KUMALIZA UJENZI WA GHALA LA KOROSHO.

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA, CHRISTINE MNDEME amemwagiza Mkandarasi SKYCITY LIMITED, anayejenga ghala la kuhifadhia korosho wilayani TUNDURU kumaliza ujenzi huo mapema ili kupisha ujenzi wa kiwanda cha kubangua korosho.
Post a Comment
Powered by Blogger.