VIDEO:DKT MWIGULU AMEWAAKIKISHIA WANACHAMA WA CCM MKOA WA RUVUMA KUIBUKA NA USHINDI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

Mbunge wa Iramba Magharibi Dkt Mwigulu Nchemba amewahaakikishia wanachama wa ccm mkoani RUVUMA kuwa chama hicho kitachukua kata zote zinazoshiriki uchaguzi mdogo wa madiwani katika wilaya ya TUNDURU na MBINGA hayo amesema wakati wa kumnadi mgombea wa wa udiwani katika kata ya MHONGOZI wilayani MBINGA HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE
Post a Comment
Powered by Blogger.