TAARIFA MBILI MPYA NA MUHIMU KUTOKA TFF MCHANA WA LEO

KOCHA WA KILIMANJARO HEROES ATANGAZAWA 
Shirikisho la soka Nchini TFF leo limemtangaza atakayekuwa kocha wa wa Timu ya Tanzania bara katika michuano ya CECAFA inayotarajiwa kuanza December 3 huko nchini Kenya. TFF imemtangaza Ammy Ninje kuwa kocha wa timu hiyo Maarufu kama Kilimanjaro Heroes.

TIMU KUTANGAZWA KESHO
Kocha Ammy Ninje anatarajiwa kutangaza majina ya wachezaji watakaounda kikosi chake kitakachowakilisha Tanzania bara katika michuano hiyo.

Tanzania bara ipo kundi moja na Zanzaibar, Wenyeji Kenya, Libya na Rwanda katika kUndi ambalo linaaminika kuwa ndiyo kundi la Kifo katika michuano hiyo.
Post a Comment
Powered by Blogger.