JE WATAKA KUJUA: HIZI NDIZO KUTA NANE AMBAZO ZIMEJENGWA KAMA MFANO KATIKA MPAKA WA MAREKANI NA MEXICO

Hizi ndizo kuta nane(8) ambazo zimejengwa kama mfano katika mpaka wa Marekani na Mexico, serikali ya Trump inajipanga kulinganisha ubora na ghrama za ujenzi wa kuta hizo na kampuni itakayoshinda zabuni itaanza ujenzi. Donald Trump anaendelea kusisitiza kuwa Serikali ya Mexico italipia gharama za ujenzi wa ukuta huo, wakati huohuo Mexico wakikataa jukumu hilo.


Post a Comment
Powered by Blogger.