RC SHIGELLA AFUNGUA KIKAO CHA RCC LEO MKOANI TANGA

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martini Shigella akifungua kikao cha kamati ya ushauri cha Mkoa huo (RCC) kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga 
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi akizungumza katika kikao hicho leo 
Katibu Tawala Msaidizi Upande wa Miundombinu mkoa wa Tanga, Monica Kinala akifafanua jambo kwenye kikao hicho wa pili kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga, Mhandisi Zena Saidi
Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama akielezea mikakati ya Bandari hiyo kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC)
Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga akizungumza katika kikao hicho kuelezea mipango yao
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Steven Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Gabriel Robert
Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga (RPC) Benedict Wakulyamba akitoa taarifa ya Jeshi la Polisi katika kikao hicho 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella akifafanua jambo kwenye kikao hicho kushoto ni Katibu Tawala wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi kulia Mbunge wa Jimbo la Muheza,Balozi Adadi Rajabu
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akisisitiza jambo kwenye kikao hicho
Post a Comment
Powered by Blogger.