VIDEO:JKT MLALE WATAMBA KUCHEZA LIGI KUU MSIMU UJAO.

Timu ya JKT mlale inayoshiriki ligi daraja la kwanza kutoka mkoa wa ruvuma watamba kufanya vizuri kwenye kundi lake latika msimu huu wa ligi. hii inatokana baada ya kumfunga majimaji bao moja kwa bila katika mchezo wa kirafiki uwanja wa majimaji mjini SONGEA.
Post a Comment
Powered by Blogger.