VIDEO: TP MAZEMBE YASHUSHA ‘KIPIGO CHA MBWA MWIZI’ KOMBE LA SHIRIKISHO

Klabu ya soka ya TP Mazembe imefanikiwa kuishushia mvua ya mabao timu ya Hilal Obeyed kutoka Sudan katika kombe la shirikisho.

Katika mechi hiyo iliyochezwa Jumapili hii, Mazembe imepata ushindi wa mabao 5-0 na kufanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali.
Katika hatua hiyo TP Mazembe itakutana na FUS Rabat ya Morocco. Nayo timu ya Club Africain ya Tunisia imeichapa Mc Alger mabao 2-0 na kusonga mbele ambapo itakutana na Supersport Utd hatika hatua hiyo hiyo ya nusu fainali.
Tazama magoli ya TP Mazembe vs Hilal Obeyed hapa chini.
Post a Comment
Powered by Blogger.