SNURA AZINDUA VIDEO YA NYIMBO YAKE YA “ZUNGUSHA “ KATIKA CLUB YA MAISHA BASEMENT

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Snura Mushi “Snura” usiku wa kuamkia leo amezindua video ya nyimbo yake mpya ya “Zungusha” katika club ya Maisha Basement jijini Dar es Salaam. Katika uzinduzi huo Snura amefanya shoo ya nguvu na kuwakosha mashabiki wake waliofika kushuhudia shoo yake  katika club hiyo.
Katika uzinduzi huo kumefanyika  pia mashindano ya Kibao Kata kati ya Team Kinyama Sina na Makutunyema, katika mashindano hayo team ya Kinyama Sina ilishinda.Post a Comment
Powered by Blogger.