RAIS MSTAAFU, DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA JAJI MSUYA

Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewakuwa Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania ukiingizwa kwenye makaburi ya Kinondoni tayari kwa mazishi yake.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa wakiwa wamejipanga tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, tayari kwa mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, likishushwa kaburini wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam.
Askari Polisi wakitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam.
 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka undogo kwenye kaburi la Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
  Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma akiweka undogo kwenye kaburi la Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa  Bodi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Anne Makinda akiweka undogo kwenye kaburi la Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
 Mume wa Marehemu Hilary Msuya akiweka undogo kwenye kaburi la Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma akiwa na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakishiriki mazishi ya Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam.

Watoto wa marehemu Jaji Upendo Hilary wakiwakatika kaburi la mama yao baada ya mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam.

Post a Comment
Powered by Blogger.