MAFUNZO YA MFUMO MPYA WA WAKUAANDAA MIPANGO NA BAJETI ZA SERIKALI ZA MITAA YAFANYIKA JIJINI MWANZA

Mchumi wa Halmashauri ya Kongwa, Salum Dhamin akitoa mafunzo kwa washiriki wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) Jijini Mwanza, leo tarehe 25 Julai 2017.
 Washiriki Wakifuatilia  Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) Jijini Mwanza, leo tarehe 25 Julai 2017.
  Katibu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Nsubii Njella akiwaelekeza washiriki namna yakusajili watumiaji wapya wakati wa Mafunzo ya Matumizi ya Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) Jijini Mwanza, leo tarehe 25 Julai 2017.
Afisa Utumishi Ofisi ya Rais Utumishi, Salome Kessy akimuelekeza mshiriki namna ya kutengeneza Nywila wakati wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wakuandaa Mipango na Bajeti za Serikali za Mitaa (PlanRep) Jijini Mwanza, leo tarehe 25 Julai 2017.
Post a Comment
Powered by Blogger.