MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » POLISI YASEMA MIILI YA WALIYOKUFA KWENYE GHOROFA LILILOUNGUA MOTO LONDON KUTOTAMBULIKA


Pamoja Blog 6/16/2017 01:05:00 PM 0

Polisi nchini Ungereza wameonya kuwa kunauwezekano wa kutotambulika kwa watu waliokufa kwenye moto uliounguza ghorofa magharibi mwa Jiji la London.

Vikosi vya huduma za dharura vimeendelea kwa siku tatu, vikiendelea kutafuta miili ya watu iliyoungua katika ghorofa hilo la makazi ya watu la Grenfell Tower.

Watu 17 wamethibitishwa kufa hadi sasa, ila idadi yao waloikufa moto inatarajiwa kuongezeka na kunahofu huenda ikazidi watu 60.
   Waombolezaji wakiomboleza kwa kuweka mashada ya maua na kuandika ukutani ujumbe wa maombolezo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments