MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » WAPEMBA WAPIGWA MSASA KUHUSU FURSA KATIKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI


Pamoja Blog 5/17/2017 12:23:00 PM 0

Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama, Bw. Stephen Mbundi akitoa mada kwenye semina ya mtangamano wa Jumuiya ya afrika Mashariki kisiwani Pemba ambapo alielezea namna Jumuiya hiyo ilivyoanzishwa, faida, fursa na changamoto mbalimbali zinazopatikana kwenye mtangamano wa Afrika Mashariki. Bwa. Mbundi akiendelea kuelezea mada yake
Bw. Othman Bakar Shehe akiuliza swali mara baada ya Bw. Mbundi (hayupo pichani) kumaliza kuwasilisha mada yake.
Bw. Mbundi akijibu swali lililoulizwa na Bw. Shehe (hayupo pichani).
Sehemu ya wajumbe na wajasiriamali wakisikiliza kwa makini majibu yaliyokuwa yakitolewa na Bw. Mbundi.«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments