MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » TFDA yafungia machinjio 26 Dar


Pamoja Blog 5/14/2017 03:45:00 PM 0

Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imeyafungia machinjio 26 kati ya 55 jijini hapa katika Manispaa za Ubungo, Kinondoni, Ilala na Temeke.
Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Hiiti Sillo amesema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari kuwa ukaguzi ulianza Mei 2-12 na kuwahusisha wadau wote muhimu wakiwemo Bodi ya Nyama na Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
"Lengo la ukaguzi huo ulikuwa kuangalia utekelezaji wa Sheria ya Chakula, Dawa ya Vipodozi... Ulifanyika usiku kwa machinjio ya ng'ombe na asubuhi na mchana kwa machinjio ya kuku na nguruwe," amesema Sillo.
Amesema katika machinjio 26, moja ni ya ng'ombe, 14 nguruwe na 11 ya kuku.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments