Tenga aula CAF

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF kimemteua Rais wa heshima wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodgar Tenga kuwa rais wa kamati ya usimamizi wa mfumo wa leseni kwa vilabu, {Management of club licensing system} Uteuzi huo umekuja muda mchache baada ya kukaa kikao cha kamati ya UtAendaji chini ya uenyekiti wa CAF Rais Ahmad walipokutana hivi karibuni katika Hoteli ya Sheraton Manama, Bahra
Aidha, Tenga atakuwa akisaidiwa na Rais wa Shirikisho la Soka nchini Afrika Kusini, Danny Jordan ambaye ameteuliwa kuwa makamu wa kamati hiyo pamoja na kupewa cheo kingine cha urais katika kamati ya Masoko na Televisheni .
Post a Comment
Powered by Blogger.