MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » Tembo Wanne Wavamia Chuo Kikuu cha UDOM


Pamoja Blog 5/09/2017 05:21:00 PM 0

Ilikuwa  balaa  leo alfajiri katika maeneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.
 
Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.
 
Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.
 
Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments