MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » WAFANYABIASHARA WA MACHINGA COMPLEX JIJINI DAR WACHOMA MATAIRI KATIKATI YA BARABARA


Pamoja Blog 4/03/2017 02:32:00 PM 0

 Wafanyabiashara ndogondogo wa Machinga Complex ilala, Dar es Salaam wamechoma matairi barabarani wakipinga kuondolewa vibanda vyao. 
 Wafanyabiashara hao wamefikia hatua ya wamewasha moto katikati ya barabara eneo la Machinga Complex mara baada ya kukuta vibanda vyao vimevunjwa. jeshi la zima moto limewasili eneo la tukio kwa ajili ya kuzima moto huo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments