MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA WAGENI KUTOKA TAASISI ZA MAENDELEO SHIRIKISHI


Pamoja Blog 4/10/2017 04:42:00 PM 0

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana na Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) na Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati), walipotembelewa leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini Dodoma. 
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, pale walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katika ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty na anaefuata ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia).
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati) na anaefuta ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) walipotembelewa leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akimsikiliza Meneja wa Taasisi Shirikishi za Kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia) na anaefuata ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty (katikati) walipotembelewa leo na ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi Ofisini kwake Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments