MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI.


Pamoja Blog 4/15/2017 03:01:00 PM 0

Vikundi vya Jooging kutoka Dodoma vikiwa katika mazoezi ya kukimbia kutoka Viwanja vya Nyerere Square hadi Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.
Vikundi vya Jooging kutoka Dodoma vikiwa katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.
Mbunge wa Buyungu Mhe. Kasuku Bilago(kushoto) na Mbunge wa Kiwani (Zanzibar) Mhe. Abdalla Haji Ali (kulia) wakifanya mazoezi ya viungo katika katika viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma ikiwa ni kuunga mkono wito wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan wa kufanya mazoezi.
Mratibu wa Michezo Kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Salum Mkuya akizungumza navikundi vua Jogging Club wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments