MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » MISA TANZANIA YAWANOA WANAHABARI KANDA YA KASKAZINI JUU YA SHERIA MPYA YA HUDUMA ZA HABARI.


Pamoja Blog 4/05/2017 03:54:00 PM 0

Afisa Habari na Utafiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania (MISA-TAN) Sengiyumva Gasirigwa akizungumza na waandishi wa habari wa kanda ya Kaskazini juu ya sheria mpya ya huduma ya habari leo kwenye mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Impala jijini Arusha
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Ltd,Jesse Kwayu akiwaongoza washiriki wa warsha inayotolewa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN) juu ya changamoto zilizopo katika sheria mpya ya Huduma za Habari.
Wakili Msomi na Mwanahabari mwandamizi James Marenga akiwapitisha washiriki wa warsha hiyo katika vifungu mbalimbali vya sheria ya Huduma ya Habari.
Baadhi ya Wanahabari kutoka mikoa ya Tanga, Arusha, Manyara na Kilimanjaro wakishiriki katika warsha hiyo inayofanyika katika Hoteli ya Impala jijini Arusha.
Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Luninga cha ITV mkoa wa Manyara,Charles Masanyika akichangia jambo wakati wa warsha hiyo.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoa wa Manyara ,Joseph Lyimo akichangia jambo katika warha hiyo.
Baadhi ya Washiriki.
Baadhi ya wanahabari wanaoshiriki warsha hiyo. Picha na Dixon Busagaga

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments