JE WATAKA KUJUA: MAMBO 27 USIYOYAJUA KUHUSU KOREA KASKAZINI..

Serikali ya Korea Kaskazini imeweka utaratibu maalum kwa wananchi na watalii wanaotembea nchi hiyo wanapotaka kupiga picha. 

1. Unapotaka kupiga picha sanamu au picha ya "viongozi wapendwa" wa nchi hiyo Kim Jong Il, Kim Il Sung na Kim Jong Un ni lazima upige picha sanamu zima au picha nzima, ni marufuku kupiga kipande au nusu picha. Ni marufuku pia kuchora katuni za viongozi hao.
Ukienda kwenye eneo la ujenzi ni marufuku kuwapiga picha wafanyakazi wanaoendelea na ujenzi wala kupiga picha jengo lisilokamilika, ni lazima upige picha jengo lililokamilika na lenye kupendeza.
Ni marufuku kupiga picha wanajeshi au kambi ya jeshi, hili ni sharti gumu kidogo kwasababu asilimia 25 ya raia ni wanajeshi.
Ni marufuku kutembea peke yako na kupiga picha maeneo yaliyoharibika kama vile barabara mbovu au maduka ambayo hayajajaa bidhaa. Serikali ya Korea Kaskazini inajitahidi ulimwengu upate picha ya kupendeza kuhusu nchi hiyo.

2.Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug.

3.Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung-.Baba wa taifa lao Kim II-Sung alizaliwa 15.04.1912 siku ilipozama meli ya Titanic. (Rais wa Maisha wa Korea Kaskazini ni Kim Il Sung. Mtoto wake na mjukuu wake wamekuja kuwa viongozi tu, lakini yeye mwenyewe babu yao ndiye rais mpaka leo, hata kama amefariki Eternal President of the Republic-Hayo ndiyo mambo ya North Korea.)

Hiyo siku ndio chanzo cha kalenda yao (Democratic People's Republic of Korea_Juche Korea[/QUOTE] year Gregorian year Dangun year-Kim alizaliwa 1912 ~ hapa ndio juche year inaanzia)

4.Kuanzia 2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya unaitwa " JUCHE" wakimaanisha "KUJITEGEMEA"

5.Ndio nchi yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko yote dunia nzima, unabeba watu 150000

6. Miaka ya 50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka south korea.

7.Kuna mitindo 28 tu ya nywele iliyohalalishwa na serikali, 10 kwa ME na 18 kwa KE.Kama mtu anataka kusuka ama kunyoa atachagua kutoka hapo. Akikaidi yatakayompata asimlaumu mtu.

8:Kwa miaka 60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni wakorea kusini wawili tu ndio wamerudi korea kaskazini.(Christian Amanpour wa CNN like 3 years ago alifanikiwa kupata visa ya kwenda North Korea na alisema imemchukua 10 years kuipata hiyo visa!)

9:Wakati dunia nzima inatumia OS za Windows, LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao inaitwa STAR OS

10:Kumiliki BIBILIA,Kuangalia Movie au tamthilia za Korea kusini na kusambaza picha za ngono adhabu ni kifo ukibainika. (katiba yao innaweka uhuru Wa kuabudu but in reality hicho kitu hakipo. Kama ukiona watu wanasali kidogo huwa ni watalii wenye dini zao au mabalozi kuwaridhisha.
Ila kuna gereza maalumu kwa watu wenye kutaka ukristo lipo kanisa ufu Chung chang Catholic Cathedral lililjengwa na Serikali. yasemekana kuna maandamo ya SIRI kudai Ukristo)

11:Ni wanajeshi na viongozi wa serikali tu ambao wanaruhusiwa kumiliki gari.

12:Ni kinyume cha sheria kuvaa jeans korea kaskazini (Ni marufuku kuvaa jeans hasa za blue: Ukikutwa ni jela au kunyongwa sababu unaeneza tamaduni za adui yao Marekani.)

13:Wanafanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano ila sanduku la kura ni moja tu na mgombea ni mmoja.

14:Kuna Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie kwa mmoja aelewe neno.

15:Kulingana na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari akiwa na miaka 3.

16: kama umezaliwa tarehe 8 july au tarehe 17 december Huruhusiwi kusherekea Birthday maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.

17: wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wanaakili sana/geneus kama jeshi la kimtandao,Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Klingana na vyombo vya magharibi.

18. Mkorea Kaskazini haongei Kiingereza kabisa lkn bado ametengeneza software yake yeye mwenyewe yaani hatumii windows, hivi sasa wametengeneza smart phone yao isiyotumia android yaani wamebuni software ya kwao
(Kuna kijana mdogo mkorea kaskazini anaishi USA alipoenda NK baada ya siku kadhaa alipatikana na simu ya camera made in South Korea...sumsung alikuhumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kazi ngumu..Mataifa makubwa yalipoingilia kati aliachiwa huru na kurudishwa USA..ingawaje yeye ni raia wa korea kaskazini..)

19.Mwaka 2015 Korea kaskazini walibadili mtindo wao wa saa, dakika 30 nyuma.Lengo lilikuwa kukwepa kuwa na saa sawa na watani wao wa Korea kusini.

20. Mgao wa umeme ni jambo la kawaida sana Korea kaskazini. Ifikapo usiku serikali huzima umeme maeneo mengi kwa sababu ya uzalishaji wake kuwa wa kiwango cha chini.

21. Channel za TV zinazo ruhusiwa kuoneshwa nchini kwao ni tatu tu.Moja kila jioni tu, na hizo mbili ni weekend pekee, zote lazima zikaguliwe na serikali kabla ya kupaa hewani.

22. Baadhi ya makosa hukumu zake hudumu kwa vizazi vitatu, siyo ajabu kwa mtu kutumikia hukumu ya makosa ya Babu yake.

23. Rais wa kwanza  Kim Jong iL Alipendelea Sana Kula Nyama Ya Punda Na Kunyoa Panki, ni Rais Katili Asiye Na Huruma Hata Chembe,na Sasa Mwanae Rais Kim Jong Un Kafuata Nyayo Za Baba Yake,naye Hupenda Kunyoa Panki,kula Nyama Ya Punda,na Pia Anaua Wapinzani Wake,aliamuru Mjomba Wake Auawe Kikatili Kwa Kushambuliwa Na Kundi Kubwa La Mbwa Wenye Njaa Kali kama alivyokuwa Baba Yake,kim Jong Un pia Ni Muoga Sana Kusafiri Nje Ya Nchi Yake Kwa Sababu Ya Kuhofia Usalama

24. Inasemekana 60% Ya Bajeti Ya Nchi Hiyo Inaenda Jeshini Yote.

25. Raia Wa Taifa Hilo Hawaruhusiwi Kufanya Mawasiliano Ya Simu Au Email Nje Ya Nchi Yao

26. Mshirika Mkubwa Wa Taifa Hilo Ni China Na Urusi.

27. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa ambayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.
Post a Comment
Powered by Blogger.