Wema Sepetu aonya watu kumpangia maisha

Nani tena anamchokoza madam Sepenga? Mrembo huyo ameamua kuwaka kwenye mtandao wa Instagram kwa watu wanaofuatilia maisha yake.

Kupitia mtandao huo, Wema ameandika:
Naomba nitoe tamko… Nakipenda Ki-choker changu saaana… And wearing it doesnt make me any less a muslim… Maana mshaanza…! My Daddy Sepetu was A Roman Catholic FYI…!!!๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„ Wote tunamwamini Mungu… So if u cant accept it, Deal with it…! Kupangiwa maisha mnanijua SIPENDI….
Post a Comment
Powered by Blogger.