MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » Waziri Mahiga akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Arkadia Ltd


Pamoja Blog 3/02/2017 04:01:00 PM 0

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ARKADIA Ltd. Dr. Ezio Copat walipokutana kwa mazungumzo ofisini kwake mjini Dodoma.
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akimsikiliza Dr. Copat walipokutana kwa mazungumzo mjini Dodoma.
Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akifafanua jambo wakati wa mazungumzo.
Mazungumzo yakiendelea.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments