Schweinsteiger atambulishwa rasmi Chicago Fire ya Marekani

Schweinsteiger amekabidhiwa jezi namba 31
Mchezaji Bastian Schweinsteiger ametambulishwa rasmi na klabu yake mpya ya Chicago Fire ya Marekani jana kwenye mkutano na waandishi wa habari.


Schweinsteiger amesha anza na mazoezi na timu hiyo wiki hii baada ya kumalizana na klabu ya Manchester United ya Uingereza.

Post a Comment
Powered by Blogger.