WANAOMPINGA RAIS DONALD TRUMP WAPAMBANA NA POLISIWatu 13 wamekamatwa huko Portland, Oregon, Marekani katika maandamano ya kumpinga rais Donald Trump yaliyogeuka kuwa mapambano na polisi.Waandamanaji hao ambao walikuwa hawana kibali, walitapakaa katika mitaa nje ya majengo ya serikali ya Federesheni, na walikataa kutii tahadhari ya polisi.Maandamano hayo ni miongoni ma maandamano machache yaliyofanyika Marekani ikiwa ni sehemu ya kampeni Siku ya ya 'Sio Rais Wangu' dhidi ya Trump.
                                                         Polisi wakimdhibiti mmoja wa waandamanaji 
                            Mmoja wa waandamanaji akijikuta amewekwa mtu kati na polisi
                                               Na hapa muandamanaji akiwa amedakwa na polisi
Post a Comment
Powered by Blogger.