Tucta yawakingia kifua wadaiwa HESLB

Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limetoa siku 14 kwa Serikali kuwarejeshea wafanyakazi fedha za mikopo ya elimu ya juu wanazokatwa kimakosa vinginevyo watafanya uamuzi mgumu
Akizungumza leo (Jumanne) Rais wa Tucta, Tumaini Nyamhokwa amesema wafanyakazi hao waliingia mkataba na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ya kukatwa asilimia nane.
Amesema baada ya sheria mpya iliyopitishwa Agosti 2016 imebadilisha na sasa wanakatwa asilimia 15 bila kujali walikopa lini mikopo hiyo.
Post a Comment
Powered by Blogger.