SUMU YA PENZI SEHEMU YA THEMANINI NA SABA (87)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kiukweli, nilikuwa nimestaajabu mno, na sasa ndiyo nikagundua kwanini nilikuwa na wasiwasi na mume wa Gululi kurudiana na Gululi harakaharaka vile. 
Ilivyoonesha kuwa alitaka kuwachanganya Gululi na kile kibinti cha chuo, sasa amefumaniwa. Na kwa kuwa nilikuwa mbali sikuweza kwenda cha zaidi nilimshauri tu Gululi cha kufanya.
“Gululi huyo mwanaume amekuelekeza kuwa amemfumania mumeo gesti gani?” nilihoji.
“ndiyo ni palepale kazini kwa mume wangu..” alisema Gululi.
“Gululi naomba ujikaze uende, ukajionee isije kuwa anataka kukufitinisha..” nilisema Gululi akaitikia kuwa anaenda muda huohuo. Akakata simu.
Muda wote nikawa nampigia hakuwa akipokea, nikazidi kuwa na wasiwasi. Baadaye usiku akanipigia simu mwenyewe sasa akionekana amepoa mno kuliko mwanzoni.
“Gululi nini kinachoendelea.!” Nilihoji.
“Mary nimefanya kitu ambacho, sitakijutia maisha yangu yote, najua umefanya kila uwezalo kunisaidia, lakini mwisho wa siku uvumilivu umenishinda nimeamua kutokuwa mjinga tena kwenye mapenzi,” alisema Gululi.
“Gululi niambie umefanya nini?”
Basi akanisimulia mambo ambayo nilipoyasikia tu hata mimi mwenyewe nikabaki mdomo UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA ALHAMISI 
Post a Comment
Powered by Blogger.