SUMU YA PENZI SEHEMU YA THEMANINI (80)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Basi nilirudi nyumbani na mambo mengine yakaendelea vizuri, tena mume wangu ndiye akanikumbusha kuhusu mafunzo yangu ya kungwi akaniulizia naendeleaje.
Mh kiukweli nilikuwa hadi nimesahau kama nilikuwa na mazoezi ya kukaza misuli ya kipapatio. Nikakumbuka sasa nikaona ngoja humohumo nimchomekee kuhusu kuniruhusu kuwa naenda kwa kungwi kuanzia kesho. Akaniruhusu bila hiyana. 
Basi nilichofanya kwanza ni kuingia chumbani na kuanza kutafuta vinguo vyangu vyote vikali vya zamani, nikavijaza kwenye kibegi full. mapema kesho yake nikachomoka hadi kwa akina Gululi.
Tena alionekana ana hamu kweli ya kujua nilikuwa na mipango gani ya kumrudisha mumewe, tena Bibi Gululi naye hakuwa mbali alikuwa akinyapianyapia ili kuona ninafanyajefanyaje, ukweli ni kwamba hata sikuwa na mpango wowote wa maana.
Kabla ya kufungua begi nikaanza kumuuliza Gululi; maswali yangu mawili  matatu.
“hivi, Gululi huyo msichana anayetembea na mumeo yupojeyupoje! Usidanganye kuwa tu mkweli!”niliuliza.
“ni kisichana cheupe hivi, kinavaavaa uchiuchi, kina mashauziii!” alianza kuelezea.
“najua unaongea kwa kukisimanga, lakini kwa maneno yako inaonekana kwanza ni kizuri, kinajua kuvaa na kina swaga,” nilimchana ukweli Gululi.
“kwa hiyo unanisimanga?” alipaniki Gululi.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA ALHAMISI 

Post a Comment
Powered by Blogger.