SUMU YA PENZI SEHEMU YA SABINI NA TATU (73)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“hapana sitaki mmuwekee madawa ya kulevya mtoto wa watu akafungwe bure, hapana!” alikataa mama.
“Yaani mama bwana mtu anatembea na baba mpaka wanatiana mimba halafu unajifanya unamuonea huruma!” alisema dada Mage, nikamuona mama anashtuka mno.
“nini? nani ana mimba ya baba ako? Yule kinyago!” alipaniki mno mama akamtazama dada na kumuuliza; “nani kakwambia hayo maneno!”
“aamm aah nilimsikia Mary akiongea na mume wake!” alijibu dada nikashangaa na kujiuliza siku ile wakati Mr X wangu ananieleza hayo mambo usiku kule nje uwanjani, yeye dada alikuwepo wapi?
“ooh kwahiyo wote humu ndani mnalijua hilo na mmekaa kimya. Asanteni sana!” aliongea mama huku akiondoka na kwenda kujifungia chumbani kwake.
Tulijaribu kumgongea mlango lakini hakufungua hata kidogo, ikabidi tusubiri hadi hasira zake ziishe kwanza.
“mbona unaropoka wewe!” nilimkaripia dada akanyamaza kimya.
“enhe itabidi unielezee ulisikiaje wakati tunaongea na mume wangu na ulikuwa unafanya nini na umbea wako?”

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA ALHAMISI 
Post a Comment
Powered by Blogger.