MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » Mmiliki wa Villa Park Makambako afariki kwa ajali mbaya akiwa na mpenzi wake


Pamoja Blog 2/20/2017 11:48:00 AM 0

Gari ya Kizito baada ya kupata ajali

Mmiliki wa kiota cha Villa Park cha mjini Makambako, Kizito, amepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya gari iliyotokea Jumapili usiku.

Ajali hiyo inadaiwa kutokea Morogoro. Inasemekana alikuwa na mpenzi wake ambaye kutokana na mwili wake kusagika vibaya alishindwa kufahamika mara moja.

Kizito alikuwa akitoka kwenye mechi ya mpira kati ya Njombe na Kurugenzi na ajali ilitokea saa nane usiku.

Kizito enzi za uhai wake akiwa amesimama pembeni ya gari yake Toyota Harrier iliyopata ajali

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments