MAMA IVAN AMTOA POVU ROMA, KISA HELA YA MADEE

Rapper Roma Mkatoliki ameonekana kukerwa na mkewe mama Ivan. 
Mkewe huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @mrs_roma2030 amepost kwenye mtandao huo kipande cha video akiimba wimbo wa ‘Hela’ wa Madee na kuandika, “Mengi nimepitia nikiwaadisia wengine mtalia sana/inamengi dunia usipoangali watawakatisha tamaa..heeee/laaa @madeeali.

Kitendo hicho kimeonekana kumuumiza Roma ambaye aliamua kutoa dukuduku lake kwa kuandika comment iliyowashangaza mashabiki, “Shobo hilo mxiuuuuuu kwa wimbo gani basi nawe ukaenda kujiiimbiiishaaaa!!!??? MXIUUU ๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰ wajitia kuuvalia na Ushungi mwana mkosa kazi wewe!! Kwa msanii gani basi….Msanii Maandazi huyo. Nyote namiona washamba tu. Mxiuuuuuu.”
Lakini Mama Ivan alirudi tena kwa kuandika, “@roma2030 “Heeee makubwaaa mbona povu tena baba van? Basi naifuta isiwe tabu.
Post a Comment
Powered by Blogger.