MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » » MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI HITIMISHO LA MKUTANO WA KUWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI MJINI DUBAI


Pamoja Blog 2/07/2017 09:03:00 PM 0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Profesa  Alicia Giron ambaye ni Profesa na Mtafiti wa uchumi katika Chuo Kikuu cha Mexico (UNAM) wakati wa hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai. 
SUZANA
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mwezeshaji Susan Monahan wakati wa hitimisho la mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Hitimisho la  mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai ukiendelea leo (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Wa pili kushoto ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan sambamba na washiriki wengine wakifutilia yaliyokuwa yakijiri kwenye  hitimisho la  mkutano wa kuwawezesha wanawake kiuchumi mjini Dubai mapema leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments