MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » JE WATAKA KUJUA: WACHAWI NCHINI MAREKANI WAUNGANA KUMROGA TRUMP ILI KUMWONDOA MADARAKANI


Pamoja Blog 2/27/2017 11:00:00 AM 0

Ijumaa iliyopita wachawi nchini Marekani walikutana pamoja katika maeneo mbalimbali ili kufanya uchawi wa kumwondoa Donald Trump madarakani. Wachawi hao wameapa kukutana kila panapotokea mwandamo wa mwezi ili kuendelea kumroga Rais Trump. Tarehe nyingine waliyopanga ni March 26, April 24 na May 23. Mpango huo umepewa jina la Magic Resistance ama Witches against Trump.
Wakati huohuo makundi ya Wakristo nchini humo yamekutana na kufanya maombi ya kumwombea ulinzi na uongozi imara Rais TrumpImeandaliwa na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments