MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » JE WATAKA KUJUA: MEYA APIGA MARUFUKU WATU KUFA KWENYE MJI WAKE.


Pamoja Blog 2/21/2017 01:24:00 PM 0

Ni marufuku na ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kufa kwenye mji wa Le Lavandou, Ufaransa
Mwaka 2000 meya wa mji wa Lavandou nchini Ufaransa Mayor Gil Bernardi alilazimika kupitisha sheria ndogo yenye lengo la kupiga marufuku watu kufa katika mji huo. Na yeyote atakayevunja sheria hiyo (atakayefariki) atapata adhabu kali. 
Sababu za meya huyo kupitisha sheria hiyo ni kutokana na kukataliwa ombi lake la kupewa sehemu mpya ya kuzikia wafu baada ya kujaa kwa sehemu ya makaburi iliyokuwa ikitumika awali.
Sasa ole wako ufie kwenye mji huo, utakiona cha mtema kuni

Imeandaliwa na Moses Mutente

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments