MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » TRUMP KUAMURU UJENZI WA UKUTA MPAKANI MWA MEXICO, KUZUIA WAGENI WA KIISLAMU KUINGIA US KUANZIA JUMATANO HII


Pamoja Blog 1/25/2017 01:06:00 PM 0

Rais Donald Trump ataanza kupitisha maamuzi ya juu kuhusiana na masuala ya uhamiaji kuanzia Jumatano hii, akianza na kuimarisha ulinzi wa mpakani, ikiwemo ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani.

Rais huyo pia anatarajiwa kupiga marufuku kwa muda kuingia kwa wahamiaji kutoka katoka nchi za Kiislamu wanaoweza kuhusika na ugaidi zikiwemo Syria, Iran, Iraq, Libya, Yemen, Sudan na Somalia.
‘Big day planned on NATIONAL SECURITY tomorrow,Among many other things, we will build the wall,” alitweet.
Uamuzi huo ni miongoni mwa mambo aliyokuwa ameahidi wakati wa kampeni.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments