SUMU YA PENZI SEHEMU YA SITINI NA NNE (64)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kiukweli nilijikuta nikiumia sana moyoni, na nilishangaa kosa gani nililomfanyia Mr X mpaka akanikasirikia kiasi hicho, nakumbuka hakuwahi kunidharau, hakuwa hata kunisukuma kama alivyonifanyia siku hiyo, daima nilikuwa malkia wake.
Wakati naendelea kujitafakari taratibu, kumbe mama aliona kila kitu, akastaajabu sana. “Mwanangu kwani umemfanya nini mwenzako! Mbona leo mchana mlikuwa sawa tu?”
“hata mimi sijui mama, najiuliza hilo swali kutwa nzima,” nilimjibu huku machozi yakinitiririka mashavuni.
“usilie mama ngoja leo usiku nitamwambia baba yako aongee naye maana tumemaliza maandalizi yote tusije tukaharibu huku mwishoni.”
Kweli alipofika baba, mama akamwambia kila kitu, ikabidi baba amuite mume wangu na mimi, usiku uleule na kutuweka kitako.
“kuna nini kinachoendelea kati yenu? ninawaona hampo pamoja kabisa kama zamani!” aliuliza baba mume wangu alionekana tu kama mtu mwenye mahasira yake na alikuwa akitazama chini macho yake yakiiva hadi nikawa naogopa.

UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA JUMANNE
Post a Comment
Powered by Blogger.