SUMU YA PENZI SEHEMU YA SITINI NA MOJA (61)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


“haya wanamwali wangu haya nitakayowafundisha hapa, yatabadilisha maisha yenu yote ya mapenzi, mtapendwa lakini hofu yangu ni kwamba mtataka kupendwa zaidi na hilo ni jambo baya sana,” alisema Bi. Gululi.
“kungwi kusema kweli mimi sijakuelewa?” niliuliza akanitazama na kuniambia; “ubaya wa mwanamke akijua mapenzi, hupenda kusikia akisifiwa mno, na hilo litamfanya ashindwe kujizuia kumuonjesha utamu wake mtu mwingine nje ya ndoa ili mradi tu apate sifa kuwa anajua; mwisho wake wanawali wangu ni kwamba kati ya wanawake 100 wanaojua mapenzi 99 wote wanaishia kudanga tu kwa sababu hawawezi kutulia.”
“hapana kungwi mimi siwezi kumfanyia hivyo mume wangu!” nilisema kwa uhakika kabisa. Bi. Gululi akanitazama na kucheka.
“mwanamwali wangu, japo kuwa inaonekana kama ujinga haya ninayoyasema, lakini utakuja kuyaona. Kwa sababu hata mimi yameshanitokea na kunicost, hivi haujiulizi baba yake Gululi yuko wapi,” alisema Bi Gululi.
“nilikuwa msichana kama wewe wakati nachezwa, nilifundishwa mengi kuanzia kitandani, usafi wa mwili wangu na nyumba, mapishi na jinsi ya kumtunza mwanaume, lakini nilipofundishwa somo hili nitakalokufundeni nyinyi, nilibadilika mno.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA JUMAMOSI

Post a Comment
Powered by Blogger.