SUMU YA PENZI SEHEMU YA SITINI NA MBILI (62)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Nikachuchumaa na kugeukia upande wangu na Gululi upande wake kila mmoja akiwa na kioo chake kidogo.
Kupitia kioo niliweza kuona njia yangu ya haja kubwa na kipapatio changu tena hadi ndani ya mzinga wangu wa asali.
“haya nyie endeleeni mimi naondoka zangu,” alisema Bi. Gululi kama kawaida akaenda kuoga na kuondoka zake akiwa ananukia mafukizo ya udi.
Nikajiongeza kuwa lazima atakuwa anakwenda kwa mshefa wake, basi nikaachana naye na kuanza kufanya yangu, nikajitazama kwenye kioo na kuanza kufanya kama nilivyoelekezwa. Nikaona panacheza kidogokidogo na mara nyingine nikawa nasahau kuchezesha huku chini.
Kama machizi vile tuliendelea na mazoezi hayo saa nzima kila mmoja akipania kujua kwanza ili kumzidi mwenzake, tulipochoka tulikaa kitandani na kupiga stori nyingine na kurudia tena kuchuchumaa.
Siyo siri miguu iliniuma, na mikono kwa kuiweka chini, lakini kuna kitu kingine nilikisikia kikiuma kwa mbali. Nikaanza kujichunguza na kugundua kuwa ni huku kwenye kipapatio. Kulikuwa kama kumekaza hivi, yaani kama vile ukiwa haujafanya mazoezi  kwa muda mrefu halafu ukafanya na kulala; ukiamka kesho yake utasikia kukaza kwa misuli, ndivyo kulivyokuwa kule chini.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA JUMAPILI
Post a Comment
Powered by Blogger.