SUMU YA PENZI SEHEMU YA HAMSINI NA TATU (53)

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Uzuri naye alionekana kuwa na harakaharaka, akatuachia tuziandae hizo dawa, akatuambia kuwa akija Hadija tutamuonesha mazoezi  ya jana na yote tuliyojifunza, yeye amepata safari mara moja.
Kama kawaida yake wakati mimi na Gululi tukiwa bize kuandaa madawa yetu ya kukaza kipapatio, Kungwi tulimuona akiingia zake bafuni kuoga muda mrefu kweli, akatoka na kuingia chumbani tukaanza kusikia harufu ya udi, akatoka akiwa amejipara kweli, halafu alionekana bize kweli akiongea na simu.
Basi wakati ameinama anavaa viatu blauzi yake ikapanda juu kidogo, nikaona kiunoni shanga za rangirangi lakini juu kulikuwa na shanga nyeupe.
Alipoondoka tu nikawa na maswali kweli kuhusu shanga maana nilikumbuka Steve alisema alimuona Fatuma amevaa. Ikabidi nimuulize Gululi akaniambia: “Shoga shanga ni kama kibwebwe ngomani, unajua ukiwa unakata kiuno ukiwa na kibwebwe unaonekana una katika sana, sasa kitandani ndiyo sisi tunavaa shanga, ukikatika kidogo tu mwanaume anaona kiuno feni.
“Tena wanaume wanavurugwa kweli wakiona shanga tu kiunoni. Kuna wanaume wajuzi wa kuchezea shanga, wanachezea kwa ulimi tu kuzunguka kiuno kizima, hadi raha,” alisema Gululi.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA


ITAENDELEA IJUMAA

Post a Comment
Powered by Blogger.