MATANGAZO....
pamoja blogBABA

HABARI

MATUKIO

Michezo imedhaminiwa na

MICHEZO

Simulizi zimedhaminiwa na

SIMULIZI

JAMII

BURUDANI

UCHUMI

MAGAZETI

VIDEO ZETU

» » » SUMU YA PENZI SEHEMU YA HAMSINI NA TANO (55)


Pamoja Blog 1/14/2017 11:00:00 AM 0

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Na hapo alikuwa ameniambia kuhusu Hadija, lakini bado nilikuwa na mashaka, mbona hakuniambia kuhusu Fatuma?
Nikakumbuka yale maneno yanayosemwaga kuwa ukiona mpenzi wako anakwambia kila mtu anayemtongoza, jua kuwa ni kwa sababu hamtaki, lakini akimtaka hatathubutu kukwambia.
Hivyo ilikuwa wazi kuwa Fatuma alikuwa akinipindua ndiyo maana mume wangu hajaniambia, hasira zikanipanda mara dufu, nikachukua maji  mengi na kunywa mfululizo, hii inasaidia kupunguza hasira. 
Muda huohuo nikamuona Gululi akitoka bafuni nikajifuta haraka michirizi ya machozi, akapita na kuingia ndani kama kawaida yake akiachia tabasamu pana.
Baadaye alitoka na kanga na kuja kukaa pale kwenye kiti, akaniuliza kama nimeivaa ile dawa, nikamwitikia kwa kichwa tu. Lakini nikakumbuka  kuwa bado hakunimalizia kuhusu ile elimu ya shanga kuna rangi bado alikuwa hajanimalizia. Maana nilizozikumbuka ilikuwa nyeupe na nyekundu tu na tulikuwa tukitaka kuzungumzia shanga ya rangi nyeusi.
Basi akaenda kubandika sufuria la maji jikoni na kuwasha jiko la gesi nililowanunulia, akanipa ungo nichambue mchele wakati yeye anaandaa samaki kibua.


UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO AU ZILIZOPITA ZILIZOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 NA KAMA HUNA WHATSAPP PIGA SIMU UPEWE MAELEKEZO YA   KUTUMIWA

ITAENDELEA JUMAPILI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments